Maombi,zaburi 1:8,uniombea nami nitakupa mataifakuwa urithi,na misho ya dunia kuwa milki yako.
mathayo7:7,Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona;bisheni nanyi mtafunguliwa.
Imani , waebrania11:1..basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ni pamoja ya mambo yasiyoonekana.
warumi10:17 basi imani,chanzo chake ni kusikia;nakusikia huja kwa neno la kristo.
utii mithali3:1 mwanangu usiisahau sheria yangu ,bali moyowako uzishike amri zangu.
kumbukumbu.Kumpenda BWANA MUNGU wako kuitii sauti yake ,na kushikamana naye kwani hiyo ndiyo uzima wako na wingi wa siku zako,upate kukaa katika nchi aliowaapia baba zako,ibrahimu na isaka na yakobo kuwa atawapa.
Subira Mungu wetu hachelewi wala hawahi..
Upendo Mungu ni pendo anatupenda sisi sote yafaa kuwa na upendo ili tufanane naye yeye kama BABA na sisi tu WATOTO wake.UPENDO ndiyo kipimo cha ukamilifu.
amani ya kristo iwe nanyi nyote.